(Ndipo Yakobo akaamka usingizini, akasema, “Hakika, Mwenyezi-Mungu yupo mahali hapa, nami sikujua!” 17Yakobo akaogopa na kusema, “Mahali hapa panatisha kama nini! Bila shaka hapa ni nyumba ya Mungu na lango la mbinguni.”)
Kumbukumbu la Torati 4: 29
(Lakini huko, kama mkimtafuta BWANA, Mungu wako, utampata, ukimtafuta kwa moyo wako wote, na roho yako yote)
Ndipo Yakobo akaamka usingizini, akasema, “Hakika, Mwenyezi-Mungu yupo mahali hapa, nami sikujua!” 17Yakobo akaogopa na kusema, “Mahali hapa panatisha kama nini! Bila shaka hapa ni nyumba ya Mungu na lango la mbinguni.”
HUDUMA ZETU
Kanisa la UPONYAJI, ISHARA, MAAJABU, MIUJIZA NA UWEZA WA MUNGU ALIYE HAI. Makao Makuu ya Kanisa la Mtume Paulo Tanzania yapo Kiseke, Jijini Mwanza.